JamiiSafe ni kikundi cha Kitanzania cha kusaidiana ambapo wanachama wanachangia kila mwezi ili kupata msaada wa kifedha wakati wa ugonjwa au msiba. Jiunge nasi na uhakikishe usalama wa familia yako.
Kila mwanachama anayechangia kwa wakati atapata msaada wa kifedha kulingana na kiwango chake wakati wa ugonjwa au msiba. Fedha zinagawanywa kulingana na aina ya msaada.
Kujiunga na JamiiSafe ni rahisi sana. Fuata hatua hizi na uwe sehemu ya jamii yenye nguvu.
Fungua akaunti yako kwa kujaza fomu ya usajili pamoja na picha yako na kuchagua kiwango chako.
JamiiSafe itathibitisha ombi lako na kuwa mwanachama rasmi wa JamiiSafe, kwa kupokea sim au ujumbe mfupi kupitia namba yako.
Changia kiasi chako kila mwezi taratibu au fedha yote. kiwango chako kitadhibitishwa na kuweka katika account yako.
Wakati wa Mgonjwa au Msiba, Jamii Safe inakusaidia kifedha kulingana na kiwango chako.
Tazama kiasi utakachopata kutoka JamiiSafe wakati wa shida kulingana na kiwango chako. Fedha zinagawanywa kwa aina ya msaada.
| Kundi | Mchango | Ugonjwa | Msiba |
|---|---|---|---|
| Msingi | Tsh 10,000 | Tsh 200,000 | Tsh 500,000 |
| Wastani | Tsh 50,000 | Tsh 1,000,000 | Tsh 2,500,000 |
| Juu | Tsh 100,000 | Tsh 2,000,000 | Tsh 5,000,000 |
* Mchango ni wa kila mwezi. Unapata msaada wa ugonjwa AU msiba kulingana na hali yako.
JamiiSafe si tu kikundi - ni familia inayokusaidia wakati wa shida kubwa zaidi.
Kuwa sehemu ya jamii inayojali na kusaidiana. Kila mwanachama ni muhimu na anapendwa katika JamiiSafe.
Michango yako midogo kila mwezi inahakikisha utapata msaada mkubwa wakati unaohitaji zaidi/% kadhaa kama sehemu ya uwekezaji.
Kila mchango unaonekana kwenye profile yako. wasimamizi(viongozi wa JamiiSafe) watadhibitisha ili kuhakikisha uarama wa fedha zako kila wakati.
Sikiliza kutoka kwa wanachama wenzetu ambao JamiiSafe imewasaidia wakati wa shida.
Pata majibu ya maswali yako kuhusu JamiiSafe na jinsi inavyofanya kazi.
Chagua kiwango kinachokufaa na uwe sehemu ya jamii ya JamiiSafe. Kujisajili ni bure!
Jiunge Sasa