Viwango vya Michango na Manufaa

Chagua Kiwango Kinachokufaa

Fedha inayokusanywa inagawanywa kwa huduma maalum - si fedha mkononi. Tazama mgawanyo wa kina hapa chini.

Msingi
10,000 Tsh/mwezi
Kiwango cha msingi - Msaada mdogo

Msaada wa Ugonjwa - Jumla: Tsh 200,000

DawaTsh 150,000
Usafiri kwenda hospitaliTsh 50,000
AmbulanceHapana
UpasuajiHapana
Kulazwa hospitaliniHapana

Msaada wa Msiba - Jumla: Tsh 500,000

Jeneza na sandaTsh 200,000
Usafiri wa msibaTsh 150,000
Gharama za mazishiTsh 150,000

Msaada wa Familia (Mke/Mume)

Unapata 20% ya matibabu kwa mwanafamilia 1 (mke au mume)

Hukupata: Ambulance, Upasuaji, Kulazwa hospitalini, Hospitali za kibinafsi, Msaada wa kisaikolojia
Jiunge Msingi
Juu
100,000 Tsh/mwezi
Kiwango cha juu - Msaada mkubwa

Msaada wa Ugonjwa - Jumla: Tsh 5,000,000

DawaTsh 1,000,000
AmbulanceTsh 500,000
UpasuajiTsh 1,500,000
Kulazwa hospitaliniTsh 1,000,000
Vipimo (X-ray, CT, MRI, nk)Tsh 500,000
Hospitali za kibinafsiTsh 500,000

Msaada wa Msiba - Jumla: Tsh 5,000,000

Jeneza na sanda (bora sana)Tsh 800,000
Usafirishaji msibaTsh 700,000
Gharama za mazishi kamiliTsh 1,000,000
Chakula na wageniTsh 800,000
Msaada wa familia (miezi 3)Tsh 900,000
Usafiri wa familia ya mbaliTsh 500,000
Msaada wa kisaikolojia (muda mrefu)Tsh 300,000

Msaada wa Familia

Unapata 60% ya matibabu kwa wanafamilia 4 (mke/mume + watoto 3)

Unapata huduma ZOTE! Kiwango hiki kina msaada mkubwa zaidi wa JamiiSafe.
Jiunge Juu

Taarifa Muhimu Kuhusu Msaada

Fedha inayokusanywa inagawanywa kwa huduma maalum (dawa, ambulance, jeneza, nk) ni kwa wanachama hai na familia pekee kulingana na kundi husika. Mfano: Mwanachama wa Kiwango cha Juu akipata msaada wa ugonjwa, atatumia fedha kwa mujibu wa mahitaji yake - dawa Tsh 1,000,000, ambulance Tsh 500,000, n.k. hadi kikomo cha Tsh 5,000,000.

Huduma za afya za JamiiSafe Tanzania
Masharti Muhimu

Nani Anasaidiwa na JamiiSafe?

Msaada unatolewa kwa wanachama wanaotimiza masharti haya. JamiiSafe inajali haki na uwazi.

Michango ya Kawaida

Mwanachama lazima awe amechangia kwa miezi kadhaa iliyopita bila kusimama.

Uthibitisho wa Admin

Kila mchango lazima uthibitishwe na Admin kwenye mfumo.

Msaada Unalingana na Kiwango

Msaada unatolewa kulingana na kiwango: Msingi, Wastani, au Juu.

Msaada wa JamiiSafe wakati wa msiba
Msaada wa Msiba

Wakati wa Huzuni, Tunakusimama

Msiba ni wakati mgumu sana kwa familia. JamiiSafe inahakikisha familia haipaswi kuwa na wasiwasi wa gharama.

  • Jeneza na sanda - hadi Tsh 800,000
  • Usafirishaji msiba - hadi Tsh 700,000
  • Gharama za mazishi - hadi Tsh 1,000,000
  • Msaada wa familia baadaye - hadi miezi 3
Mfumo wa Michango

Jinsi Michango Inavyofanya Kazi

Mfumo wetu ni rahisi na wa uwazi. Kila hatua inakuonekana kwenye profile yako.

Lipa Mchango Wako

Lipa mchango wako wa kila mwezi kupitia njia zilizokubalika na ujulishe admin.

Admin Anadhibitisha

Admin atabonyeza +10,000, +50,000 au +100,000 kwenye mfumo kudhibitisha mchango wako.

Unaona Mchango Wako

Mara baada ya admin kudhibitisha, kiasi kitaonekana kwenye profile yako papo hapo.

Michango Inakusanywa

Kama ulilipa 10,000 na ukalipa tena 10,000 mwezi unaofuata, jumla yako itakuwa 20,000.

Muhtasari wa Viwango

Linganisha Viwango Vyote kwa Urahisi

Aina ya Msaada / Huduma Msingi
10,000/mw
Wastani
50,000/mw
Juu
100,000/mw
Jumla ya Msaada wa Ugonjwa Tsh 200,000 Tsh 2,000,000 Tsh 5,000,000
Jumla ya Msaada wa Msiba Tsh 500,000 Tsh 3,000,000 Tsh 5,000,000
Dawa Tsh 150,000 Tsh 500,000 Tsh 1,000,000
Ambulance Hapana Tsh 300,000 Tsh 500,000
Upasuaji wa Dharura Hapana Tsh 600,000 Tsh 1,500,000
Kulazwa Hospitalini Hapana Tsh 400,000 Tsh 1,000,000
Hospitali za Kibinafsi Hapana Hapana Tsh 500,000
Msaada wa Familia (% ya matibabu) 20% (mtu 1) 40% (watu 2) 60% (watu 4)
Jeneza na Sanda Tsh 200,000 Tsh 500,000 Tsh 800,000
Usafirishaji Msiba Tsh 150,000 Tsh 500,000 Tsh 700,000
Msaada wa Familia Baada ya Msiba Hapana Mwezi 1 Miezi 3
Msaada wa Kisaikolojia Hapana Ndiyo Ndiyo (Muda mrefu)

Uko Tayari Kujiunga?

Chagua kiwango kinachokufaa na uwe sehemu ya jamii ya JamiiSafe. Kujisajili ni bure!

Jiunge Sasa