Tujengane.
Tusaidiane wakati wa shida.
Kikundi cha kusaidiana wakati wa ugonjwa na msiba. Changia kidogo kila mwezi, pata msaada mkubwa pale unapohitaji.
Wakati wa Ugonjwa
Pata hadi Tsh 2,000,000 kulipia matibabu kulingana na kiwango chako.
Wakati wa Msiba
Familia inapokea hadi Tsh 5,000,000 kusaidia matayarisho.
Salama na wazi
Historia ya michango yako inapatikana wakati wowote kwenye app.
Mara ya kwanza? Setup ya Mlezi Mkuu